CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA WANAKULETEA MBEYA GOSPEL FESTIVAL 2014.

BWANA YESU asifiwe.
Ni furaha nyingine kwa watu wa MUNGU Mkoa wa mbeya ambapo waimbaji wanaofanya vizuri katika tasnia hiyo ya kumtukuza MUNGU watakutana sehemu moja katika ukumbi wa mtendwa sunset tarehe 20 na 21 mwezi huu.
Watakuwepo waimbaji wengi ambapo kati yao ni pamoja na Rose Mhando, Masanja mkandamizaji, Addo , Daniel Safari,November, Ann Annie, Sarah Mvungi, Silas Mbise,Joshua Makondeko, Madam Ruti, Tumaini Njole na wengine wengi wanavyooekana hapo chini.

MOTO WA INJILI UTAWAKA NA BWANA ATATUKUZWA.




Comments