FEDHA NA MAONO!

Na Mchungaji Peter Mitimingi, mkurugenzi wa The Voice of Hope Ministries (VHM).

1. Fedha hazileti Maono, bali Maono huleta fedha.

2. Ukiwa na Maono utapata Fedha za kuendeshea Maono


3. Ukiwa na Fedha huwezi kupata Maono kwasababu ya fedha ulizonazo.


4. Pasipo Maono watu huacha kujizuia...


5. Maono yataamua urefu wa fedha zako, lakini fedha hazitaweza kuamua urefu wa Maono yako.

Comments