MFULULIZO WA MBEYA GOSPEL FESTIVAL: ANN ANNIE, RACHEL, MESS JACOB CHENGULA NA WAIMBAJI WENGINE WATIKISA MBEYA


Chama cha Muziki wa Injili Tanzania kiliandaa tamasha linaloenda kwa jina la Mbeya Gospel Festival likiwa na lengo la kuwataka wana Mbeya kujiunga na chama hicho kwaajili ya kuwasaidia kujua haki zao za kimuziki.

Katika tamasha hili kulikuwa na waimbaji wengi sana kama vile Mess Jacob Chengula, Ann Annie, Rachel Sharp, na wengine wengi. Watu walibarikiwa sana.
 Kutoka kulia ni Rachel, Ann Annie
 Rachel Sharp kutoka Sweden
 Emmanuel Mabisa
 Mess jacob Chengula mwenye koti jeupe
Ann Annie

Comments