MKESHA WA AFLEWO WATIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM

Hii kiukweli inapendeza sana na inatia moyo kwa watu wa Mungu kukusanyika sehemu moja bila ya kujali dini wala kabila, kwa kumsifu Mungu na kumwabudu. Rumafrica inawapa big Up waandaji wa Event hii na Mungu azidi kuwapa maono makubwa zaidi ya haya mlio nayo.

Event kubwa ya aina yake AFLEWO (Africa Lets Worship) inayofanyika kwa mwaka mara moja,usiku wa siku ya ijumaa katika kanisa la City Christian Center Upanga(CCC) karibu na Chuo cha Mzumbe, imekuwa ya aina yake baada ya watu wengi kumiminika kutoka kila kona ya jiji la dar es salaam.
Mkesha huo wa kusifu,kuabudu na Maombi umekua baraka kubwa kwakila aliyefika siku
ya jana kwani kikosi kizima cha kusifu na kuabudu kilichokua kikiongozwa na Dr.Ona Machung'u kilionyesha uwezo mkubwa katika stage


















































Logo ikiwakilisha



Kitu nyomiiii



Mc wa Event Samuel Sasali.





Hapana chezea uwepo wa Mungu


Picha zifatazo ni maombi yaliyofanyika kabla ya event kuanza



Sound ya ukweli


Comments