RATIBA YA SEMINA ZIJAZO ZA MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE. HII HAPA.

Mwl. Christopher Mwakasege
Shalom!
Ratiba ya semna zijazo ni kama ifuatayo;
3 – 6 Julai 2014 Tabora: Uwanja wa Uyui Sekondari
Muda: saa 9 mchana hadi saa 12 Jioni.
5 Juai 2014 Semina ya Vijana
Muda: saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana

15 – 18 Julai 2014 Kongamano La Maombi la Kitaifa-UDOM.
Muda: saa 3 asubuhi hadi saa 12 jioni( Kwa waliojiandikisha tu )
NB: Tarehe 14 Julai ni siku ya kufika na tarehe 19 Julai ni siku ya kuondoka.

23 – 27 Julai 2014 KIGOMA
Muda:Kila siku kuanzia saa 9 mchana hadi saa 12 Jioni.
26 Julai 2014 Semina ya Vijana
Muda: saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana

30 Julai – 3 Agosti 2014 Singida Mjini:Uwanja Wa Peoples
Muda:Kila siku kuanzia saa 9 mchana hadi saa 12 Jioni.
2 Agosti 2014 Semina ya Vijana
Muda: saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana

6 – 10 Agosti 2014 Shinyanga:Uwanja Wa Kambarage
Muda:Kila siku kuanzia saa 9 mchana hadi saa 12 Jioni.
9 Agosti 2014 Semina ya Vijana
Muda: saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana

17 – 24 Agosti 2014 Mwanza:Uwanja Wa Furahisha
Muda:Kila siku kuanzia saa 9 mchana hadi saa 12 Jioni.
23 Agosti 2014 Semina ya Vijana
Muda: saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana

31 Agosti – 7 Septemba 2014 Arusha Mjini:Uwanja Wa Reli.
Muda:Kila siku kuanzia saa 9 mchana hadi saa 12 Jioni.
6 Septemba 2014 Semina ya Vijana
Muda: saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana

Tunahitaji maombi yenu kusudi la Mungu lifanyike katika semina hizi. Mungu awabariki sana!!

Comments