
![]() |
Mh.January Makamba akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa COSOTA,Doreen Sinare
|
![]() |
Naibu waziri wa Mawasiliano Mh January Makamba,akisalimiana na mzee Makassy.
|
![]() |
Mh.January Makamba akizungumaz na wadau wa Muziki wa Injili Tanzania Hoteli ya Wanyama Sinza.
|
![]() |
Rais wa shirikisho la Muziki wa Injili Tanzania (TAF) Ado Novemba kushoto akizungumza na wadau wa muziki wa Injli Tanzania.
|
![]() |
Wadau mbalimbali wa Muziki wa Injili wakifatilia mkutano.
|
![]() |
John Shaban katibu wa shirikisho la Muziki wa Injili akieleza jambo.
|

![]() |
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania Bwana Kitime akisema jambo.
|
![]() |
Balozi
mstaafu Profesa Coster Mahalu akizungumza na wadau wa muziki wa
Injili.Kulia ni Mkurugenzi wa kwaya ya Revival Choir Kinondoni Dr.Jotham
Mackenzie.
|

Comments