Leo kulifanyika katika kanisa la TAG city center Kariakoo Zanzibar kulifanyika ibada ya kusifu na maombezi. Kanisa hilo linalongozwa na Askofu Dickson Kaganga. Hizi ni baadhi ya picha katika ibada hiyo.
WASHARIKA WAKIWA KATIKA MAOMBI |
SHEKINA WAKIHUDUMU |
ASKOFU DICKSON KAGANGA AKIHUBIRI |
WAKATI WA SIFA WAUMINI WAKISIFU |
WAKATI WA SIFA |
Comments