VITABU VYA SIKU ZA KARIBUNI KUTOKA KWA MCHUNGAJI PETER MITIMINGI

Mchungaji Peter Mitimingi ambaye pia ni mkurugenzi wa VHM.
BWANA YESU asifiwe.
MUNGU kwa kutumia watumishi wake amewapa karama mbalimbali zikiwemo za kuandaa vitabu ambavyo huwasaidia wengi katika masuala mbalimbalia katika jamii pamoja na masuala ya ndoa.
Vitabu vya watumishi wa MUNGU wa kweli vinafaa sana.
Namkuletea vitabu ambavyo Mchungaji Peter Mitimingi ameviandika siku za karibuni. Ni vitabu vinavyofundisha sana hakika ni msaada, Mtafute kwa namba 0713-183939 ili upate hata kimoja ambacho kitakufaa sana. 

HIVI HAPA NI BAADHI TU YA VITABU VINAVYOFAA SANA.
MUNGU akubariki sana.








Comments