NIA ILIYO KATIKA MAOMBI UOMBAYO KAMA SI YA ROHO NI KIKWAZO CHA KUPIKEA MAJIBU YA MAOMBI YAKO (Sehemu II)

Na Emmanuel Kamalamo.
Bwana Yesu asifiwe!
Namshukuru kwa nafasi nyingine tena ambayo
ametupa ili kujinza tena maneno ya uzima.

Tunaendelea na samo late, Mungu akubariki.
BAADHI YA MATOKEO YA MAOMBI YA OMBWAYO
KATIKA NIA YA ROHO YAKO.
Jambo la 1.
Maombi yako yatasukumwa na NIA ya Roho
Mtakatifu, na ndani yake yatakuwa yanatarajio la
KUTUKUZWA kwa Mungu baada ya kupewa majibu.
Yohana 11:42"NAMI NALIJUA YAKUWA WANISIKIA
SIKU ZOTE; LAKINI KWA AJILI YA MKUTANO HUE..
". Yesu anapotaka kumfufua Lazaro, anataka Mungu
atukuzwe kwa wale watu waliokusanyika. Nia
iliyokuwa katka MAOMBI ya Yesu ni kwamba

Lazaro AKIFUFUKA Mungu atukuze.
Ili ombi lako lijibiwe angalia NIA yako inatafuta
utukufu wako au utukufu kwa Mungu? , maandiko
yanasema.. "IWENI NA NIA IYO HIYO NDANI YENU
AMBAYO ILIKUWA PIA NDANI YA KRISTO YESU"
1 Wakorintho 2:16 "MAANA NI NANI ALIYE
IFAHAMU NIA YA BWANA, AMWELIMISHE? LAKINI
SISI TUNAYO NIA YA KRISTO." Amplified Bible
inasema... FOR WHO HAS KNOWN OR
UNDERSTOOD THE MIND (THE COUNSELS AND
PURPOSES) OF THE LORD SO AS TO GUIDE AND
INSTRUCT HIM AND GIVE HIM KNOWLEDGE .BUT
WE HAVE THE MIND OF CHRIST (THE MESSIAH)
AND DO HOLD THE THOUGHTS (FEELINGS AND
PURPOSES) OF THE HEART. "MIND" ni AKILI, kwa
lugha yetu ni NIA YA KRISTO. ambayo tunaulizwa
nani anaijua au ameifahamu? Maana ndani yake
imebeba(MASHAHURI NA MAKUSUDI) ambayo
yatamuongoza na kumfundisha yeye (aliye okoka)
na kumpa maarifa yake (Kristo)
Kwa hiyo kama huna Nia ya Kristo ndani yako
huwezi kuwa maarifa ya kufundishwa jinsi ya
kuomba sawasawa na MAPENZI YA MUNGU na
hutaweza kujua HISIA NA MAKUSUDI ya mayo.

Jambo la 2.
Utawekewa mzigo wa maombi na Roho Mtakatifu
kuombea jambo flani.Au eneo linalotaka kuilibiwa
lisiharibiwe. 1Nyakati 29:1-11,Danieli
9:1-8,13,16;20-21.
Kama unakumbuka wanafunzi wa Yesu nia ya mwili
inawasukuma kuomba moto ushuke uteketeze kijiji
kwa sababu wamemkataa Yesu.

Jambo la 3.
Utapiganiwa katika vita yako na utashinda. 2
Nyakati 26:3-7.
Nia iliyomsukuma Mfalme Uzia kuutafuta uso wa
Mungu kwa maombi alitaka Mungu amshindie vita ili
aujenge mji.
Hivyo ni jambo la muhimu kuongozwa na nia ya
Roho Mtakatifu ktk maombi yako. Na nia hiyo
utaipata kwa Yesu Kristo.

KAMA HUJAOKOKA OKOKA LEO
MAANA BAADA YA KUFA NI HUKUMU. Waebrania
9:27

MUNGU AKUBARIKI
ekamalamo@gmail.com

Comments