APONA UKIMWI BAADA YA KUOMBEWA NA ASKOFU GWAJIMA.


Jackson ambaye Mungu amemponya ugonjwa wa Ukimwi

Pichani ni kijana Jackson ambaye Mungu amemponya ugonjwa wa Ukimwi, ushuhuda wake upo hivi. Jackson ni kijana aliyekuwa akiishi makete na kwako wamezaliwa watoto 64 kwa baba mmoja aliyekuwa na wake 16, lakini kati yao 45 wote wameshafariki kwa UKIMWI.

Jambo la ajabu kuhusu kijana Jackson ni kuwa kati ya watoto waliofariki wa baba huyo ambao walikuwa wameoa wake zao wote walionekana hawajaathirika. Hata mke wa Jackson licha ya kuishi naye kwa miaka saba alipimwa na kuonekana hajaathirika.

Uponyaji wa Jackson ulikuwa hivi, Mara baada ya kaka wa Jackson kuja Kanisani Ufufuo na Uzima alivutiwa na watu waliokuwa wakishuhudia kuponywa na baada ya kuona hivyo alishawishika kumfuata mdogo wake kijijini makete. Alimfuata na kumleta ibadani wakati huo Jackson akiwa ameshalazwa hospital kwa miezi Sita akiwa anasubiri kufa.

Jumapili ya Uponyaji wake askofu Dr Josephat Gwajima alikuwa akifundisha somo kuhusu Viti vya Enzi ambapo Jackson aliletwa akiwa amelazwa kwenye godoro. Wakati Askofu Gwajima akipita katikati ya watu akamkuta Jackson akiwa kwenye godoro mbele ya watu wote. Ndipo akamwamuru kusimama na kubeba godoro lake hapo hapo Jackson alipata nguvu na kuanza kutembea na kula kwa Mara ya kwanza. Hii Leo Jackson ametoa ushuhuda akiwa mzima wa Afya. Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa na njia za kutoka mautini zina yeye.
Maombezi yanaendelea tena kesho katika Kituo cha Mafundisho na Maombezi hapa Mbezi Luis kufika piga simu 0714729805 au fika Kanisani Ubungo, Dar es Salaam.
Askofu Josephat Gwajima.

Comments