![]() |
| Na Peter M Mabula. Mtenda kazi katika shamba la Bwana YESU |
Bwana YESU atukuzwe ndugu yangu.
Karibu sana tujifunze Neno la MUNGU.
Kwa kusoma kwangu Biblia ni watu wachache sana walioamua kujiua wenyewe, sikuona zaidi ya watu 5 kati ya miaka yote 1500 ya kuandikwa kwa Biblia na hata hawa ambao niliona wamejiua hawakuwa wacha MUNGU safi. Kati ya watu walioamua kujiua, mtu maarufu zaidi miongoni mwao ni Yuda Iskarioti ambaye alijinyonga baada ya Kumsaliti Bwana wa Utukufu YESU KRISTO.
Mathayo 27:5 '' Akavitupa vile vipande vya fedha katika hekalu, akaondoka; akaenda, akajinyonga. ''
Kujiua ni kufanya dhambi ya kuua hivyo kujiua ni kujipeleka jehanamu.
Ndugu, Inawezekana wewe hutaki kujiua ila huwa wakati mwingine unatamani kujiua, ndugu hakika unatamani jambo baya kuliko yote.
Labda ndio maana Bwana YESU alisema ingekuwa heri kama Yuda Iskarioti asingezaliwa(Mathayo 26:24)
Labda ndio maana Bwana YESU akasema kwamba kati ya wanafunzi wake 12 ni Yuda Iskarioti tu ndio alipotea yaani hakuhusika na Kuokolewa na Bwana YESU( Yohana 17:12 ).
Kujiua kwa namna yoyote, ni sawa na dhambi ya kuua, na hukumu yake ni jehanamu, mara tu baada ya kujiua huko maana hakuna nafasi ya kutubu kwa mtu aliyejiua.
Watu walioamua kujiua wanaozungumzwa na Biblia wengi wao hawakuwa watu wacha MUNGU maana mcha MUNGU wa kweli hawezi kujiua.
Nje ya Yuda Iskarioti wengine waliojiua ni pamoja na Mfalme Sauli, huyu alimwasi MUNGU(1 Samweli 31:2-6)
Ahithofeli naye aliamua kujiua(2 Samweli 17:23)
Zimri naye aliamua kujiua (1 Wafalme 16:18)
Siku moja nilipata ufunuo wa kwamba ''Mtu yeyote akijiua anakuwa anajipeleka motoni'' niliogopa sana, niliwatafakari watu ambao walijiua ya kwamba hata kama walikuwa watakatifu lakini kwa dhambi ya kujiua wamekosa uzima wa milele.
Shetani amewaandalia wengi mitego ya dhambi inayopelekea kujinyonga au kujiua kwa sumu.

Katika kizazi cha leo ni watu wengi sana hujiua.
Watu wengine hudanganywa hata na dini zao na wengine hudanganywa na viongozi wao wa dini, ndugu mimi ngoja nikuambie ukweli wa MUNGU kabisa ya kwamba kila anayejiua anajipeleka mwenyewe jehanamu hata kama mtu huyo alikuwa kiongozi Kanisani au alikuwa Mtumishi mzuri wa MUNGU.
Katika dunia ya leo wako watu hadi wanadanganywa na filamu hivyo na wao kuamua kuishi maisha ya filamu, yaani kama mtu alimuona muigizaji fulani ndani ya filamu anajiua, basi hata yeye akitendwa anajiua, akichukizwa anaweza kujiua na anasahau ya kwamba mcheza filamu yeye alikuwa anatafuta pesa.
Nimewahi kuona watu ambao akikosewa tu kidogo anatishia kujiua.
Miezi michache iliyopita kuna rafiki yangu mmoja aliniambia kwamba Kanisani kwao kuna binti kajiua, nilishangaa sana.
Katika utumishi wangu kwa KRISTO nimeshawahi kuongea na watu kadhaa ambao waliniambia kwamba walikuwa katika hatua ya kujiua, niliwasikitikia sana maana kujiua ni kujipeleka jehanamu.
Mtu akidhani anakimbia matatizo duniani kwa kujiua atambue kwamba wala hayakimbii matatizo maana akitoka atakutana na jehanamu ya moyo milele, ni hatari sana.
Nakumbuka mwaka 2008 kule nyumbani Mwanza kuna binti alikunywa vidonge vingi makusudi ili afe, baada ya binti huyo kumsaliti mchumba wake kisha mchumba wake akamfumania na kusitisha uchumba. Binti yule alijiona mwenye hatia na hivyo akaamua kutaka kujiua kwa kunywa dawa nyingi, eti hiyo ni sehemu ya kuomba msamaha kwa kijana.
Katika nyakati hizi ni rahisi tu kusikia kwenye vyombo vya habari kwamba kuna mtu amejiua.

Leo wapo hata watumishi wa shetani ambao wanajitoa mhanga.
Ndugu zangu, Biblia inasema katika Kutoka 20:13 kwamba ''Usiue''
Ndugu, usifanye kamwe dhambi ya kuua, na hata kujiua mwenyewe pia ni dhambi ya kuua hivyo ukijiua umefanya dhambi hivyo huwezi kwenda uzima wa milele.
Kuna watu hujiua lakini kabla ya kujiua hutubu kwa MUNGU kisha wanajiua, huko ni kujidanganya na kujipeleka jehanamu.
Hata kama ulikuwa mtakatifu kiasi gani lakini baada tu ya kujiua unakwenda kuzimu na sio mbinguni kwa sababu unapomalizia tu kujiua umefanya dhambi na kuua na hakuna tena nafasi ya kutubia dhambi hiyo maana unakuwa haupo duniani na baada tu ya kufa Biblia inasema ni hukumu, hivyo hakuna tena nafasi ya kutubu.
Waebrania 9:27 '' Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu; ''
Ndugu, nakuomba sana usijiua kama una mpango wa kujiua, nakuomba sana wasaidie kuwaeleza ukweli watoto wako au ndugu zako au watu wako wa karibu ya kwamba anayejiua hawezi kwenda uzima wa milele hata kama alikuwa mcha MUNGU kabla ya kujiua.

Ujumbe huu nimepewa na ROHO MTAKATIFU ili niwaonye watu na ukiweza wasambazie watu wengi zaidi ili wajue ukweli huu ili wasije wakakubali kushawishiwa na shetani hata wakajiua na kukosa uzima wa milele.
Biblia inasema kila roho ya Mwanadamu ni mali ya MUNGU hivyo hakuna mwanadamu mwenye kibali cha kuua au kujiua.
Ezekieli 18:4 '' Tazama, roho zote ni mali yangu; kama vile roho ya baba ni mali yangu, ndivyo ilivyo roho ya mwana mali yangu; roho ile itendayo dhambi itakufa. ''
roho itendayo dhambi ndio itakayokufa yaani ndio itakayokwenda jehanamu.
Kuna watu hujinyonga, kuna watu hunywa sumu, kuna watu kujirusha maghorofani, kuna watu kujitupa kwenye maji mengi ili tu wafe.
Ndugu ukijiua ujue kabisa umemkosa MUNGU milele.

Ndugu yangu nakuomba sana usije hata siku moja ukawaza kujiua.
Ujumbe huu una kusudi la MUNGU kwa ajili ya watu wengi sana, nakuomba hakikisha unajifunza somo hili na kulielewa kisha fundisha ndugu zako au watu wako wa karibu ili tu wasidhani kujiua ni kukimbia matatizo, wakati ukweli kujiua ni kujipeleka jehanamu.
Huwezi kujiua harafu uende uzima wa milele.
Anayejiua hana akili, ndugu usijiue.
Haijalishi umekosea kosa kubwa kiasi gani, nakuomba usijiue.
Haijalishi picha zako za uchi zimewekwa mtandaoni au wametumiwa wazazi wako au ndugu zako au wana kanisa wenzako, ndugu usikubali kujiua.
Hata kama umebakwa au umelawitiwa au umeondolewa baadhi ya viungo katika mwili wako, ndugu usijiue.
Na chanzo kikuu cha watu wengi wengi kujiua ni dhambi, ndugu epuka dhambi na ikimbie dhambi siku zote maana dhambi hubeba mimba ndivyo Biblia inasema, na mimba nyingine zinazotengenezwa na dhambi huzaa roho za mauti ndipo utamuona mtu kila mara anatamani kufa au kujiua.

Ni heri udharaulike, ushutumiwe, uzomewe, uitwe kila majina mabaya lakini usiende jehanamu.
Haijalishi umesalitiwa vibaya, umedhulumiwa, umeibiwa au umeonewa vibaya, ndugu usikubali kujiua.
Hata kama watu wote duniani wamekutenga, ndugu usijiue, ukijiua utakuwa unaifuata jehanamu ya mateso milele.
Hata kama ni mwenzi wako amekusaliti, hata kama ni wazazi wako wamekukataa, hata kama watu wote wanakuona takataka nakuomba sana usifikie hatua ya kujiua, maana ukijiua utapata majuto ya milele.
Mtu mmoja siku moja aliniuliza swali kwamba ''Mtumishi katika utumishi wako kwa KRISTO unajivunia nini?'' Nikamwambia kwamba kama kuna kitu cha kujivunia ni kwamba Nimetumika kuepusha kifo kwa watu wengi japokuwa siijui idadi yao kamili.
Nimewahi kuwasiliana na wanawake walikuwa wanataka kutoa mimba, nikawaonya na kuwaombea na hawakutoa, hadi wengine walikuja kuzaa watoto wakawaita jina langu, wengine walikuja kuzaa mapacha hadi wakaanza kujuta kwanini walitaka kutoa mimba. Nimewahi kuwazuia watu kadhaa kujiua maana niliwashauri, kuwaonya, kuwaambia maneno makali na kuwaombea na walikuja kunishukuru baadae. Nje na watu kuokoka na kufunguliwa hakika mara nyingi nikihesabu faida za muda wangu mwingi sana kumtumikia Bwana YESU hakika huwa nawaona watoto wengi waliozaliwa baada ya mimi kuwazuia wazazi wao kutoa mimba, watoto hawa ni wengi sana.
Katika jamii ya leo hakika kuna baadhi ya watu mioyoni mwao shetani ameweka kiti na kukaa, watu hawa hutoa mimba na wengine hupanga kujiua.

Sitasahau siku moja kuna ndugu mmoja aliniandikia ujumbe akisema kwamba ''Mtumishi ni wewe umehusika nimeghairi kumchinja mke wangu. Maana nilimfumania akinisaliti na nimeshindwa kumsamehe kwa siku kadhaa hivyo niliamua kwenda kununua panga na nimekuwa nainoa hiyo panga kwa muda mrefu na leo ndio nilitaka kumchinja ila ujumbe wako unaotutaka kusamehe na kusahau ndio ulioniponya na sasa sitafanya unyama niliotaka kuufanya'' Nilibaki nimeduwaa kwa ujumbe wa ndugu yule.
Ndugu unayesoma ujumbe huu nakuomba sana usije hata siku moja ukapanga kujiua au kuua maana utapata hasara mbaya sana.

Baadhi ya vyanzo vya watu wengi wanaojiua.
1. Kushika mafundisho ya mashetani.
Hosea 4:6a ''Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa;''
Fundisho lolote linalokuruhusu au kukushawishi rohoni mwako kwamba ujiue, hilo ni fundisho la kishetani.
2. Mtu kuwa na mapepo ndani yake.
Mathayo 8:28 '' Naye alipofika ng'ambo, katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo walikutana naye, wanatoka makaburini, wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile.''
Hakikisha kama una mapepo kimbilia maombezi na nguvu hizo za giza zitakutoka na utakuwa huru, mapepo kuwa ndani ya mtu yanaweza kumfanya akajiua.
3. Kuwa rafiki wa shetani au kuingia mikataba ya kishetani.
Yohana 10:10a '' Mwivi(shetani) haji ila aibe na kuchinja na kuharibu;''
Shetani hata kama atakuja kwa wema kiasi gani kwako lakini lengo lake lazima lifikie katika kukuua na kukuangamiza.
Shetani hana urafiki na mawanadamu wa aina yeyote duniani, hivyo mawakala wa shetani huwadanyanya wanadamu na kuingia nao mikataba ambayo wanadamu hao wasiposhtuka mapema na kumkimbilia Bwana YESU huwa wanaangamizwa na shetani na kukosa mbingu.
4. Kuishi maisha ya bila kumtegemea MUNGU.
Yeremia 17:5 '' BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA. '' Kutokumtegemea MUNGU katika KRISTO YESU huleta laana na laana hizo hutengeneza uharibifu mwingi kwa mtu. Watu wengi sana ambao wanajiua ni kwa sababu maisha yao hayakuwa ya kumtegemea MUNGU katika KRISTO YESU.
2 Nyakati 15:2b ''BWANA yu pamoja nanyi, mkiwa pamoja naye; nanyi mkimtafuta ataonekana kwenu; lakini mkimwacha atawaacha ninyi.''
5. Dhambi ya usaliti isiyotubiwa.
Mathayo 27:3-5 ''Kisha Yuda, yule mwenye kumsaliti, alipoona ya kuwa amekwisha kuhukumiwa, alijuta, akawarudishia wakuu wa makuhani na wazee vile vipande thelathini vya fedha, akasema, Nalikosa nilipoisaliti damu isiyo na hatia. Wakasema, Basi, haya yatupasani sisi? Yaangalie haya wewe mwenyewe. Akavitupa vile vipande vya fedha katika hekalu, akaondoka; akaenda, akajinyonga.''
Wengi wanajiua kwa sababu ya kuwa wana dhambi ya usaliti wasiyoitubia.

Mama mmoja yeye watoto wake wakimkosoa kidogo tu anatiishia kujiua. Ukimuona mtu huwa anatiishia kujiua ujue mtu huyo ana mapepo na mapepo hayo yanamshawishi kujiua, msipomsaidia siku moja mtamkuta ameshajiua.
Wanasaiklojia wanasema kwamba watu wengi wanaojiua ni wale katika maisha yao waliwahi kutamka kauli mara kwa mara za kutaka kujiua, ni hatari sana.

'' Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo ROHO ayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili. -Ufunuo 2:11''

Natamani niseme mengi mno lakini naamini mwenye kuelewa ameelewa.
MUNGU
akubariki kwa kujifunza somo hili muhimu pia kitabu changu cha MAOMBI
YA KINA kinapatikana, tuwasiliane nitakujulisha jinsi ya kukipata.
Asante kama umelielewa Neno la MUNGU la siku ya leo ila nina neno moja la mwisho kwako leo.
Bwana YESU Amekaribia Kurudi.
Je, Umejiandaaje?
Je,
Unaendeleza Dhambi Ili Siku Ile Uachwe Na Bwana YESU? Je, Umeshika
Wokovu Na Utakatifu Hata Unyakuliwe Siku Ile Kwa Ajili Ya Kwenda Uzima
Wa Milele?
Majibu
Sahihi Yako Moyoni Mwako Ila Nakusihi Mpokee Bwana YESU Kama Hujampokea
Na Nakusihi Ishi Maisha Matakatifu Ukiwa Ndani Ya Wokovu.
Vya Dunia Tulivikuta Na Tutaviacha.
Ndugu, Vya Dunia Visikupotezee Muda Wako Hata Ukasahau Kuokoka.
Vya Dunia Visikupotezee Muda Wako Hata Ukasahau Wokovu Wa Bwana YESU Kwako.
Ni mimi ndugu yako Peter M Mabula.
Mtenda kazi katika shamba la Bwana YESU.
+255714252292(Hadi whatsapp).
Nakuomba share kwa marafiki zako ujumbe huu.

Comments